Kuna Mindset moja ambayo imenigusa sana kutoka kwa Elon Musk. Anasema:
"CHUKUA MALENGO YAKO YA MIAKA 10... ALAFU JARIBU KUYAFIKIA NDANI YA MIEZI 6."
Najua itakuwa ngumu kumuelewa kwa haraka, ila njoo nikuoneshe kitu...
A Thread:
Kuna mwana kamfukuzia demu kwa miaka 3, yule manzi alikuwa na mtu wake, sasa manzi kapigwa Heartbroken huko na bwana ake, ndo amemkubalia jamaa angu, Jamaa angu ndani ya miezi 3 tu ya penzi lao, katangaza na ndoa kaniomba mchango, afu mwana alopiga kwa miaka zaidi ya 5 hakutangaza ndoa.
Nimemkataza asioe haelewi, Nimelia sana 😢 😭
We born in one day
We die in one day
We can change in one day
We can fall in love in one day
We may lose in one day
We can succeed in one day
Anything can happen in just one day
Start with day one and your day will come.