Kutekwa kwa Polepole kunaacha hisia mchanganyiko - simanzi, hasira, vicheko, mnuno, masimango, mafunzo, na tahadhari. Miaka 7 iliyopita,kama ungemwambia HP kuwa angetekwa, angekucheka kwa dharau. Leo ametuthibitishia kuwa hakuna aliye salama. Hata watekaji, ipo siku watatekwa!
@Isaacklasway1@rollymsouth Acha kabisa yule kijana alikuwa smart sana, Taifa lilishindwa mtumia hadi sasa sijaona kijana anayeweza kujenga hoja kimaandishi kama yeye maana hakuwa mzungumzaji mzuri
@Isaacklasway1@rollymsouth Aisee kwa kweli hilo halinihusu, nakumbuka Ben Saanane alivyopotea na waliokuwa nyuma ya haya ndio wanajifanya wako na sisi wakati huu. Hapana kwa kweli yule kijana ataendelea kuniuma sana pamoja Aquiline na wengine maana Ben hakuwahi tukana kiongozi wala kuzusha maneno
@MiriamMkanaka Inaumiza sana kwa kweli, alipopotezwa Ben Saanane au kupigwa risasi lisu sikuwahi sikia polepole akihuzunika zaidi ya kusema washughulikiwe wanao haribu nchi