Unataka kunifundisha na kunipa mbinu za kutajirika unajua kabisa mimi ni maskini ila bado unanidai ada ya mafunzo,Upendo uko wapi watanzania๐๐๐ฅน???
Unaweza kupandisha content Kali na isinase, unaweza kupandisha meme Kali na isinase mpaka ukaona huu mtandao unakunyanyapaa,uchawi ni ku engage na wagonga ulimbo plus ma future millionaire,nimewaibia tu siri,msinitaje..!