Mbunge wa Kinondoni, Abas Tarimba amehoji Serikali haioni haja kujenga Kituo cha kusafisha mafuta (Refinery Station) ambapo ameweka wazi kuwa hajaridhishwa na majibu ya Serikali kutojibu swali lake kwa usahihi kwani wanaoteseka ni Wananchi.
Tarimba ameyasema hayo Bungeni hii leo Aprili 2, 2026 Wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo amesema "Leo hii kila anayesimama anazungumzia athari zinazotokana na uhaba wa mafuta na bei kupanda swali langu niliuliza Serikali haioni haja? Ungeniambia tu kama Serikali haioni haja kwa sababu uwepo wa Refinery Tanzania kwanza utaongeza ajira, utatupunguzia matumizi ya pesa za kigeni za kununua mafuta utatuhakikishia usalama wa upatikanaji wa mafuta nakadhalika"
Akijibu Swali hilo Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema " Mheshimiwa Spika tunaelewa Concern ya Mheshimiwa Mbunge na Swali lake la Msingi lilikiwa Ujenzi wa kituo cha Refinery kwa ajili ya bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania nimwambia Mheshimiwa Mbunge mipango kwa ajili ya kutafuta na kutafuti mafuta na Ujenzi wa refinery katika Wizara yetu upo na utafiti unaendelea"
#MillardAyoUPDATES
Malaya wengi wamewaangusha kiuchumi nyie vijana.
Na mnajua, lakini mnaona aibu kusema.
Sasa hivi unanjaa na hauna hela wala kazi ya maana, unakumbuka ile 50k, 100k, 200k n.k, ulimpa huyo msichana ambaye si bikira wala si mpenzi wako tena na amehamia kwa mwanaume mwingine?