NILIAHIDI TUKIFIKA 100M NITAANZISHA SAFARI KUITAFUTA 200M KWA KUANZA NA 2M.
TAYARI NIMEWEKA 2M✅✅✅
SIJAMALIZA NATAKA TUKIFIKA 200M NIJE TENA KUIANZA SAFARI YA 334M KWA MIMI KUWEKA 3M.
KAZI KWENU WANANGU 3M INAWASUBIRI TUITAFUTE 200M CHAP CHAP.
UJUMBE KWENU MLIOCHANGA—CHANGA TENA NA TENA NA TENA BADO HATUJAFIKIA LENGO 334M.
Namba: 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
REPOST 500.
Kwenu Gen Z,
Oyaa! Mzigo umepanda. Target imehama, sasa tunaelekea Bilioni 5.
Msiache hii iwe kazi ya watu wachache. Kizazi chenu kimeonyesha mara nyingi kuwa kikiamua, hakuna kisichowezekana.
Mmebadilisha mijadala, mmeamsha matumaini, mmefanya sauti ya mabadiliko isikike kila kona ya nchi. Sasa ni wakati wa kuipa sauti hiyo nguvu ya mchango.
Tusibaki kwenye likes, reposts na hashtags pekee. Tuweke pia alama zetu kwenye Tone Tone.
Usichangie kwa sababu umeombwa. Changia kwa sababu unaamini. Hata elfu mbili yako ni sehemu ya Bilioni 5 tunayoiandika pamoja. Hakuna mchango mdogo unapokuwa wa watu wengi wenye imani moja.
Tonesheni Tone Tone. Tufanye historia pamoja, ili kesho tukisimulia ushindi huu, kila mmoja aweze kusema, “Nilikuwepo.”
CHADEMA MPESA- 0744446969
Wenu katika Struggle,
G. J. L
Kuelekea Baraza kuu la kihistoria..
Nimesikia sauti yenu, Asanteni sana Watanzania kwa upendo mkubwa.
Ushindi wetu uko karibu sana..
Msiogope, tutashinda.
Walimleta DROGBA-bado hali ipo vile vile na inakuwa mbaya zaidi kila siku.
Wakamleta FREDNAND-bado hali ipo vile vile na inakuwa mbaya zaidi kila siku.
Na sasa wamefanya tamasha lao la miaka 30 ya BONGO FLEVA ambalo lilikuwa "SOLD OUT" na bado wakaishia KUZOMEWA-hali ipo vile vile na inakuwa mbaya zaidi kila siku.
Ni haki PEKEE ndio italiunganisha hili taifa-kwasasa mnachezea hela tuu na kupoteza MUDA.
Sijui nani anawashauri hawa WAPUMBAVU.
Watanzania walitaka namba ya MAKAMU HECHE ili wamtumie PESA kama kumuunga mkono kipindi hiki kigumu.
MAKAMU HECHE kaamua kuomba watanzania wachangie CHAMA-Chama kina jukumu zito ndani ya huu mwezi mmoja kuitisha BARAZA KUU LA CHAMA.
Baraza kuu la CHAMA linakuja kufanya maamuzi MAZITO juu ya haya mambo mawili.
1. KATIBA MPYA.
2. FREE TUNDU LISSU.
Jumla MILIONI 330 inatakiwa-Kufanikisha hili BARAZA KUU. Weka mchango wako kwenye account rasmi za CHAMA.
Voda (MPESA): 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
Repost 500
#TajiriLaKihaya
Corporate ladies ni OmbaOmba wa kutupwa…
Wakiwa mbali utadhani ni ‘miss independent’ kweli… ukiwa nae karibu itakufanya ujiulize kabla haujampata alikua anaishije!
70% ni Single mothers… hii asilimia 30% iliobaki - ni kwa sababu wanamatatizo mbalimbali ya Uzazi… madhara ya dildos,uzazi wa mpango na Abortion- hawa kila mwezi wapo CheckUp…
Labda kama unataka kupiga mara moja na kusepa ila kama unataka ujiweke USIJARIBU!