@GoodluckTemu_@Labella_Mafia95 Sasa hivi mambo yamebadilika,hata kwenye ukulima ni kichaka cha kutakatisha fedha,mtu analima heka 10,lakini anavuna mazao na kuuza,unashangaa ana hela ya heka 100,kiufupi usimwamini mwanadamu.
@VitukovyaChepe@FKihamu Hivi kiongozi mfano kesi iende caf,kuwa timu inamiliki makomandoo na wanawazuia timu pinzani kufanya mazoezi,yaliyopo kikanuni katika sheria za caf/fifa,,alafu yanga ndio ishinde kesi kirahisi?,ingekuwa hivyo tunasubiri al ahly alafu makomandoo wanawazuia mazoezi wasifanye.