Sababu nindoto za kutekwa au kukimbizwa harafu mwisho wa hayo matukio namuona huyo mjomba nayeye yupo kwenye matatzo hayo siwezi kulala tena nikilala inajirudia hii ndoto kuiepuka nifanye kitugani naomba watalamu wa mambo ya njozi mnisaidie haya ni mateso kwaangu๐
Jaman maitaji msaada napitia wakat mgumu sana mm sina undungu na huyo kwenye picha anae fahamika kwa jina la Pole pole nimekua nikiota ndoto za kutisha na kukosa usingizi malanying sana mfano leo nimeingia ndan saa 00:47 mpaka saa 2:52 nimeamka
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima amesema Mamlaka za Serikali zinapaswa kuharakisha mchakato wa kuhakikisha Watu wote waliohusika na mauaji ya Waandamanaji kuanzia October 29,2025 na siku zilizofuatia, wanawajibika au kuwajibishwa na wakiri makosa akisema hiyo ndio njia pekee ya kupunguza maumivu na hasira za Watanzania.
Akiongea leo December 01,2025, Dkt. Kitima amesema โMauaji yaliyotokea ambayo yamesikitisha sana Watanzania kila mmoja analia, Watu wameuawa kwa makusudi hicho ndio kimefanya Nchi ikae kwenye kilio ni wazi Viongozi wa Serikali lazima wawafariji Wananchi lakini Watu wanajiuliza kifo kimesababishwa na nini?, Maaskofu wa Katoliki wamesema ni mauaji, kuua kwa kukusudiaโ
โAskofu Ruwaichi alikuwa wa kwanza kusema akasema Watu wameua hadi wakiwa maeneo yao wamefuatwa, Vijana wanaongea nimeona Kijana anaongea mbele ya RC wa Njombe, tumeona kuna Waziri mmoja anazunguka kusikiliza Vijana (Waziri Joel Nanauka), Waziri Mkuu pia anazungukaโ
โTunachosikitika mpaka sasa na wanachoumia Watanzania hadi sasa ni kutokukiri ukweli kwamba waliouawa wameuawa na nani?, na kama aliyeua hafahamiki ilikuwaje Vyombo vinavyozuia mauaji visifanikiwe kuzuia mauaji ndicho kinachosikitisha ndio maana tafakuri ya Maaskofu ipo wazi wawajibike waliosababisha mauaji na kama hawawajibiki wawajibishwe, Serikali ina vyombo vya kulinda uhai wa Watanzaniaโ
โKutokukiri ukweli kwamba Watu wameuawa na nani ni kosa kubwa na Watanzania hawatosamehe hilo kosa niwaambie ukweli tutawanyamazisha, tutaendelea kuwaua wanaoongea lakini Watanzania hawatosamehe ni lazima ukiri Mungu hamsamehe Mtu bila kukiri na sio kufanya usanii usanii ni kukiri mbele za Mungu na kukubaliana na ukweli Watu waliuawa โ
#MillardAyoUPDATES