ELON MUSK KUZINDUA MKE ROBOTI
Bilionea Elon Musk na kampuni yake ya Teknolojia wako katika hatua za mwisho za kutengeneza Mke Roboti ( Robot Wives) na uzinduzi Rasmi unatarajiwa kuanza Septemba 2023 na Kwa Nchi za Afrika watapatikana kuanzia mwezi Novemba 2023...โ๏ธ๐
#YouthFun26