@EsirEid Uishi miaka mingi kaka. Japo sio mnufaika wa giveaway zako lakini unavyoona wapwa ni wazi kabisa ww sio tajiri wa pesa lkn hata roho pia imenyooka! Ishi sana kaka. Wasimbe wasitokee wakaharibu siku yetu ya Leo ya The Gunners!
@EsirEid Tajiri umekaa kimya, bata la kushangilia ubingwa ni wapi na lini, maana najua tu last time Arsenal kachukua ubingwa ulikuwa bado huelewi wasimbe ni nini 😂. @EsirEid