@udemeAkpan01@Itz_zayyad1 Really,,, after queen cersei got hit they later understood they cant win a war in any means that was the reason why they rang a bell,,then back to u how can u let free your enermy who wage a really war with u for a fake surrender..?
@Imadankizo92@BOSSferdd@Labella_Mafia95 Yaah wote tunasamehe, mtu akikosea msamehe ila usimpe access kwako tena kila mtu abaki na yake ndicho alichofanya mond alimsamehe mzeeh kitambo tu kama unakumbuka.
@BOSSferdd@Labella_Mafia95 Baada ya mond kufanikiwa ndo mnasema haya vipi mond asingefanikiwa angechoka kama yeye, mna uhakik hat shikamoo ya mond huyo mzeeh angeipokea..?
@RMinjben@Labella_Mafia95 kama aliamin hivo sasa anachomganda mond saiz ni nin si abaki na msimamo wake, zari ni malaya tu ila umeona mond kakana watoto.? kiufup huyo mzeeh hampend mond ila anatak pesa za mond kwahio akale alikopeleka mboga.
IDRISS KATU WAKILISHA VYEMA ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Sikiliza matangazo haya ya utalii wa TANZANIA nchini KOREA kwa lugha ya wa korea
Unaambiwa channel za Korea zimeitika huko ๐๐
Soon ndege za utalii kutoka KOREA, Zitatua TANZANIA
Video kwa comment ๐