The recent arrest of my friend and @ChademaTz Leader @TunduALissu by Tanzanian authorities is deeply troubling.
Tundu Lissu is a long-standing advocate for democratic governance in Tanzania. Demanding free and fair elections is not โtreasonโ!
#FreeTunduLissuNow
CHONDE CHONDE POLISI RUVUMA.
HAKUNA SHERIA YEYOTE INAYOKIUKWA KWA CHADEMA KUTUMIA KAULI MBIU YAO YA "NO REFORM NO ELECTION"
Jeshi la Polisi au Afisa yeyote wa Polisi au UMMA hana Mamlaka kisheria au Kimantiki kuzuia CHADEMA kutumia kauli mbiu hao ya NO REFORM NO ELECTION.
Ni kwa bahati mbaya sana siku hizi hatuzingatii ueledi na wivu wa kitaaluma katika kutekeleza majukumu ya Umma.
Mamlaka ya Jeshi la Polisi Kuhusu Mikutano ya Kisiasa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Political Parties Act, Cap 258 R.E. 2019) na Sheria ya Jeshi la Polisi (Police Force and Auxiliary Services Act, Cap 322 R.E. 2019), Polisi wana jukumu la kupokea taarifa za mikutano ya hadhara, si kutoa kibali.
Vyama vya siasa hutakiwa kutoa taarifa ya maandishi kwa OCD/OCS kuhusu mkutano, angalau saa 48 kabla.
Polisi hawana mamlaka ya kuzuia kwa misingi ya kisiasa isipokuwa tu kama kuna taarifa za kiintelijensia zinazoonesha uwepo wa tishio la amani, na hata hivyo, hatua hiyo lazima iwe ya muda, ya lazima na ya kiasi na ieleze lini na kwa namna gani muhusika atafanya mkutano
Katika kesi ya Marehemu Rev. Christopher Mtikila vs Attorney General, Mahakama ilisisitiza juu ya uhuru wa kujieleza, kushiriki mikutano na kutoa maoni ya kisiasa kuwa ni haki za msingi chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (Ibara ya 18 na 20).
Kauli ya โNO REFORM NO ELECTIONโ na Uhalali Wake haina kiashiri chochote cha uhalifu na ni kauli halali ha kisiasa ya kubamasisha ari.....Kila eneo lina lugha na misamiati yake kama haikuhusu waachie wenye eneo husika( Umewahi sikia wale mafundi na Vibafua wa shirika letu pendwa Tanesco wanapo nyenyua au kuvuta nguzo?) usiwalaumu ile ni lugha ya eneo lao inayo wapa hamasa ya kufanya majukimu yao kwa ufanisi.
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977 kama inavyorekebishwa Ibara ya 18 ya Katiba inasema mtu yeyote ana haki ya kutoa maoni yake. Kauli mbiu hii ya CHADEMA mbele ya myu tinamu haiwezi kuharamishwa .
Na kama kauli hii ya CHADEMA ni haramu basi mtuambie pia kuwa muasisi wa Kauli hii katika mukhtadha wa Kisiasa katika Taifa letu ,Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere alikuwa mhaini kwa kuchochea uasi wa vijana dhidi ya uzembe na kutokuwajibika kwa Viongozi wa Umma?
1. Kauli mbiu hii Haitoi wito wa https://t.co/bcdKcc5uii kauli ya msimamo wa kisera au kimkakati wa chama na inaangukia chini ya uhuru wa kujieleza na kuhamasisha mabadiliko.
Je ni kweli kwamba tunaweza kuwa na watu mpaka wakati huu ambao hawajui hata element za kosa kongwe la Uhaini?Moja ya Makosa mazee kupindukia?
Mtu yeyote au taasisi yeyote inayo jaribu kutumia Mamlaka yake Kuzuia kauli mbiu hii ya CHADEMA inakiuka haki za msingi, na mtendaji yeyote anayepitiliza mipaka ya kisheria anaweza kubanwa kwa dhima binafsi (personal liability), kwa mfano kupitia kesi ya kikatiba au ya madai dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka.
Uongozi wa CHADEMA katika kuitimiliza haki yao hii wanaweza kuainisha gharama zote walizoingia kuandaa Mikutano hiyo ya Ruvuma kwa kusudi la kumfungulia muhusika shauri binafsi la madai kwa jina lake kama kuna ushahidi kuwa Kamanda au OCD huyo amekiuka sheria kwa makusudi Kuzuia mikutano bila sababu za kisheria .
Kwa Jeshia Polisi kutoa amri kinyume cha sheria ni fursa kuwafungulia wa husika kesi za ukiukaji wa Katiba (Constitutional Petition); Kesi ya madai kwa kuzuia haki za msingi za madhara (tort) au Kesi ya dhuluma au matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa mujibu wa sheria na Katiba Polisi hawapaswi kuingilia misingi ya demokrasia pale vyama vya siasa au wananvhi wanapozigurahia mtu yeyote anayekiuka kwa kisingizio cha mamlaka, ashitakiwe kwa jina lake binafsi.
Wakili TUNDU LISSU ndiye MTU PEKEE DUNIANI ambaye RISASI 16 ZILISHINDWA KUTOA UHAI WAKE. Je, kesi ya UHAINI itafanikiwa kutoa UHAI wake? Tusubiri MAHAKAMA ifanye kazi yake. Ni suala la MUDA TU.
Xplastaz imepoteza Member mwingine, Rest Easy Gson. Umeacha alama kama Kuwepo kwenye BET Cypher, Kuwa mmoja ya watu wa Mwanzo mwanzo kutoka Tz kufanya matamasha Ulaya na Marekani. ๐