@McinikaWaLamar kisa ni cha bro, alipoteza cm, akaripot police, aliyeokota akapeleka kwa fundi simu anayemfahamu bro, fundi akamstua, akachukua cm na wakayajenga na aliyeokota. Kumbe police bado wanafuatilia so bro akadakwa kwa wizi wa simu yake mwenyew as hakuripot kuipata, he had to pay smthng