@Mikumifinest Cha kwanza amuache huyo mwanamke bila hata madhara yoyote hata asimguse awe humble hvyo hvyo kama anavyomuelezea, alafu Cha pili alete Dem mwingine hapo hapo mtaani, MWANAUME HUTAKIWI KUW NA AIBU, Na mishe zake aendeleze kama kawa.
@mTusiOriginal Ungemfatilia kwanza ndio ukaongea hayo, Me ni big fan wa jamaa na nasikiliza albums zake sio single tu na kila mwaka anatoa na mauzo ni makubwa kwa platform tofaut tofaut. Siku nyingine fanya research kwanza