Yani ukiwa shabiki wa Yanga na mteja wa NMB ukipita banda la NMB pale Sabasaba unapata nafasi ya kupiga picha na makombe yote ambayo Yanga waliyapata msimu huu.
#NMBNaWananchi
Hatimaye jawabu kwa wale ambao wanataka kuanzisha new businesses au Taasisi hapa Tanzania, @ComplianceTz inakupa blueprint yote, wapi kwa kuanzia na wapi kwa kuishia.
Ingia https://t.co/r6lbjK8gc8 kujisajili.
MAJINA SABA YA MUNGU
Sehemu 02
6 - Adonai:
Kigiriki ni Kyrios, ambayo ina maana "Bwana, au Hakimu." Adonai ni cheo cha pekee cha Mungu. Wakati Yesu alipoitwa “Bwana,” katika Injili, ilikuwa ni kukiri kwa Imani uungu wake, ikimtambulisha Yeye na Adonai wa Agano la Kale ni wamoja.
•Jemadari wa Kirumi alimwita Yesu “Bwana,” baba ya mvulana aliyekuwa na kifafa alimwita Yesu "Bwana". Wayahudi wengi wenye nia njema pia walifanya hivyo; hatimaye, Mwizi Dismas, baada ya kuongoka akiwa Msalabani, alizungumza na Yesu kama Mfalme na Bwana.
•Adonai lilikuwa neno lililotumika badala ya neno halisi la Kiebrania la Mungu, ambalo tunalifahamu kama Yahweh. Katika tafsiri ya Kilatini ya Biblia (Vulgate), neno lililotumiwa kutafsiri Adonai ni Dominus.
•Baadhi ya mababa wa Kanisa waliamini kuwa Jina 'Yehova' huenda lilitumiwa hata na wazee wetu kabla halijatolewa na Mungu binafsi kwa Musa kutoka kwenye kichaka kilichokuwa kikiwaka moto. “Lakini Sethi naye akazaliwa mwana, akamwita Enoshi; mtu huyu alianza kuliitia jina la Bwana (Mwanzo 4:26).
•Jina hilo linamaanisha, “Mimi Ndiye Niliye.” Neno hili lilionyesha kiini sahihi cha Mungu, ambacho ni uwepo wake binafsi. Hii ndiyo sababu Wayahudi walikuwa tayari kumpiga mawe Yesu alipotamka Jina Lake la milele kwa kusema: “Amin, Amin, nawaambia, Kabla Ibrahimu hajaumbwa, mimi niko” (Yoh 8:58).
•Sifa zote za Mungu zinatokana na uwepo wake Mwenyewe. Daima alikuwa na daima atakuwa - yaani, "Yeye YUKO daima."
•Neno hili Yahweh, ambalo liliandikwa katika konsonanti nne za Kiebrania YHWH (bila silabi), halikutamkwa kamwe kwa sauti yake halisi ya kifonetiki, hivyo Jina lililoheshimiwa sana lilikuwa na Wayahudi.
Katika maandiko ambayo yalitumiwa katika masinagogi chini ya uangalizi wa makuhani na marabi, "Tetragramatoni" ilitamkwa badala ya neno Adonai, linalomaanisha “Bwana.” Yaani, Jina la Mungu (Adonai) liliheshimiwa hivi kwamba haikuruhusiwa yeyote kulitamka au kuliandika. Hivyo, mtu alipoandika na kufika mahali alipopaswa kuandika jina la Mungu aliandika Herufi nne ambazo zinajulikana kama TETRAGRAMATON hivi kwamba yeyote aliyeziona alijua mahali hapo lilipaswa kuandikwa jina Takatifu la Mungu.
Tutaona zaidi jina hilo sehemu inayofuata.
MAJINA SABA YA MUNGU
Sehemu ya 03
7 - YHWH
•Jina la saba la Mungu na matamshi yake kamili haijulikani. Silabi ambazo zingesaidia kujua matamshi hayo hazikuandikwa katika maandishi ya Kiebrania na makuhani au marabi. Yaani, hadi karne ya saba wakati kikundi cha wasomi wa Kiyahudi walioitwa Wamasoreti, walipoongeza pointi (au alama za vokali/Silabi) kwenye konsonanti za Biblia ya Kiebrania.
•Wasomi hawa hawakujua alama za vokali au matamshi ya Tetragramatoni, makuhani wakuu pekee ndio waliojua. Kwa hiyo YHWH ikabaki haina silabi.
•Wasomi wa Biblia wanasema kwamba maandishi hayo ya Kimasoreti (Masoretic Text) yana tofauti kubwa na ndogo na tafsiri ya Kiebrania ya zamani ya Septuagint (Tafsiri ya Biblia ya Kigiriki), ambayo tafsiri hiyo ilikuwa ikitumiwa katika masinagogi hadi kufikia wakati wa ujio wa Bwana Wetu Yesu Kristo.
•Kuhani Mkuu peke yake, akijua matamshi kamili ya TETRAGRAMATONI, ndiye angeweza kulitamka Jina hilo, lakini mara moja tu kwa mwaka katika Patakatifu pa Patakatifu pa Hekalu, kwenye sikukuu ya Upatanisho (Yom Kippur), ambayo iliadhimishwa katika siku ya kumi ya mwezi wa Tishri, siku ambayo hukamilisha kipindi cha siku kumi za utakaso kwa ajili ya upatanisho wa dhambi.
•Matamshi ya siri ya Jina la Mungu yalikabidhiwa au kurithishwa kutoka kwa kuhani mkuu hadi kuhani mkuu, hivyo yakatunzwa katika familia kuu ya Makuhani wa Walawi. Wakati wowote ambao Marabi wangepaswa kusoma kwa sauti Maandiko Matakatifu ya Kiebrania kwa watu, walibadilisha tetragramatoni na kulitamka Adonai (Bwana).
•Hata Neno 'Yehova' sio tafsiri ya neno YHWH. Neno Yehova linatokana na kosa la mwandishi Mgiriki wa karne ya 16, ambaye alitumia vokali katika Adonai ya Kiebrania kupata tafsiri ya Kiebrania ya YHWH kuwa Yehova.
Mungu akubariki.
Vijana wengi (miaka 25 -34) ndio wako hatarini zaidi kupata maambukizi ya HIV na kundi hili mara nyingi wako nyuma kwenye kupata huduma za afya.
#PolicyForumBreakfastDebate
Unachotakiwa kujua ni kwamba PESA inatembea na MSIMU wake.
Kwa lugha ingine naweza sema KILA MSIMU UNA THAMANI YAKE.
Maana yake ukitaka ufanikiwe, tafuta THAMANI iliyojificha ndani ya MSIMU kwanza ndipo utajua namna ya KU-MONETIZE MSIMU.
Alwys Uwe tayari na mabadiliko ya misim
1. LACK OF KNOWLEDGE
Watu wengi wanaanza biashara za mitumba kwa mikumbo. Hawapati nafasi ya kujifunza kwanza.
Hili ni tatizo linalopelekea kushindwa biashara na kuichukia.
Unatakiwa upate elimu kwa mzoefu + research zako ili uweze kuijua vizuri na kufanikiwa.
Katika nyakati kama hizi za kuitetea nchi yetu asibaki nyuma mtu, sote tuwe mstari wa mbele kulipigania taifa letu dhidi ya watawala wasiotakia mema taifa letu.
Nyote mliopaza sauti kuuliza maswali magumu na kupinga mkataba huu wa bandari zetu msiishie hapa. Tuendelee kwa nguvu moja hata kwenye kuidai katiba mpya ili mambo kama haya yasijirudie huko mbeleni.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, tuilinde Tanzania yetu kwa kila hali.
Una jambo zuri, la Maslahi ya Taifa, tena kwenye moja ya kitovu cha uchumi, kwanini usiwape muda wa kutosha wadau walipitie, watoe ushauri au maoni kwa uwazi tena kwa kutumia Public platforms?
Unaharakisha kwanini?
TLS imeshiriki uzinduzi wa Jukwaa la Haki Mwanamke lililozinduliwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, liliyofanyika jana Juni 6,2023 jijini Dodoma. Waziri ameyataja malengo sita ya kuundwa kwa Jukwaa la Haki Mwanamke ikiwemo
Visit and Subscribe on our One-Stop Center at (https://t.co/W2UsdEh5Lq), a world-class Compliance Partner driving growth and Technology Innovations for Organisations. For real time updates follow our CSA pages at @ComplianceTz across Social Media.