@IAMartin_ Mtikila huyu kiazi mbatata hana ujasiri hata kidogo, yeye ashukurua ameongea huu upumbavu wake akiwa mjengoni ๐ก
Kama kweli anao ujasiri atoke aende jimboni kwake akaongee huu upupu aone kitakachotokea โshwain waahed huyuโ ๐ก
Kichwa yake imejaa samadi ya fungo ๐
@SimbaSCTanzania Kwanini ๐ฆ amepangiwa mechi nyingi za away mfululizo? Ni kawaida fixture kuwa hivi?
Prisons vs ๐ฆ away
Dom vs ๐ฆ away
Utopolo vs ๐ฆ away
Singida vs ๐ฆ away
Tra vs ๐ฆ away
Pamba vs ๐ฆ away
๐คท๐ฝโโ๏ธ๐คท๐ฝโโ๏ธ๐คท๐ฝโโ๏ธ๐คท๐ฝโโ๏ธ๐คท๐ฝโโ๏ธ๐คท๐ฝโโ๏ธ