Martin google is free, nadhani unaelewa jinsi makampuni yanavyosajiliwa, mfano mzuri ni Bakhresa na Azam, ana hadi timu ya mpira. Mlikuja mkalalamika sukari hakuna mwamba ajiuzulu, sukari imeletwa nae mnanongwa. Hamueleweki bro
Hii ni zaidi ya skendo. Waziri wa Kilimo na bodi ya sukari wamefanya mambo ya ajabu sana gizani. Lakini nafahamu, itaishia hapo kwa sababu watanzania hawana habari. Kuna siku wataagiza bidha zenye sumu ndiyo mtaipata vizuri. Stationary kupewa kibali cha kuagiza sukari? Ni mzaha!
Swali:
Kwani Bashe anatengeneza Soko HURIA (liberalisation) ya SUKARI au anaondoa power ya kuagiza SUKARI kutoka manufacturers kwenda kwa kampuni ya Serikali isiyo na financial interest kwenye uzalishaji?
Mie si economist, lakini naona Bashe yuko sahihi. Maoni yenu?
@DiraYaSamia@harmonize_tz Ni vizuri kuwasapoti walipa Kodi, ahadi ya kusafiri na wasanii panapokuwa na tamasha ni support ya kupongezwa. Itawaongezea wigo wa mapato
@Arjun_992 @HusseinBashe Bado sehemu nyingine ya mashamba bado inakarabatiwa. Mimi nakushauri unawezq kufuatilia madokezo yao pia ya kila stage ya mradi unapofikia
@Arjun_992 @HusseinBashe Lakini unadhani unaweza kuona shamba lote ukubwa wake kwa kuangalia video tuu? Mkuu Chinangali sio mbali nadhani wanaruhusu watu kutembelea.
@Arjun_992 @HusseinBashe Twende pole pole, hii assumption umeifanya based kwenye video hio. Je unajua kuwa Chinangali kuna mashamba 3 yenye ukubwa wa eka 65,202, nyumba 46 bado visima 9 na mabwawa kwa ajili ya umwagiliaji matatu. Tufanyeni reserach tusomeni hizi documents.
Sema Dada Maria unakosea saa zingine hata wewe ulikua na tuhuma za usagaji kipindi cha Miss Universe ila haikufanya tuache kukusikiliza
Kama ni kukosoa kwanini msibaki kwenye vitu vya msingi haya ya sexuality hata wewe ushatuhumiwa sana na unajua ni silaha kwa watanzania
The Mange Kimambi effect strikes again in #Tanzania (will shortly publish another article on this)
After @mangekimambi posted claims on her Instagram page last week that @SuluhuSamia is lesbian there has been nothing short of drama!
Instead of ignoring it, the entire cabinet and government is trying to spin, threaten yet the rumors keep growing! The CHAWAs (sycophants) tried to mass report her account and to have it suspended! Thankfully they have not succeeded! Mange is in the US and her freedom of expression is well guarded! If they could they would abduct or kill her! οΏ½οΏ½
Advice to politicians: ignore or deny such claims! Anything else reeks of a cover up!
Thin skinned politicians in Africa are a MAJOR problem!
#ChangeTanzania #ChangeAfrica
@MndengerekoOg Yaani Hawa watu. Mimi hata mke tu ntachelewa kuwa naye, maana kuongoza mtu ambaye anapanga kukukomesha. Ni kazi sana. Maza kakaza hawaamini amekula mitego Yao yote ukute.
@MariaSTsehai Mimi naamini kama mtu kitu kinamshinda hakitumii kabisa. Mfano mimi siwezi kuwa ndani na petrol alafu gari Sina. Yaani hapa ndani sukari ninayo ipo tu, hainishindi Bado. Usitake nianze kuona Kuna tatizo ambalo wewe ushalipwa kuja kupiga mbiu
@RasilimaliZetu@godbless_lema Watu wanataka mama labda awe anachukua watu wanaomkwamisha awe anawakata vichwa kama Ile movie ya apocalypse. Unachagua watu wakuwasilishe, kumbe watu wananyongo ajabu. Unaweza kuua watu ujue ukisikiliza kerere za Hawa chadefoo. But she chooses to stay calm.