Kitaani kuna wale ma braza unawajua kabisa walikua na kazi nzuri na wanalipwa mishahara mikubwa, ila kuna mambo flani yalitokea wakafukuzwa kazi.
Hii hali nawaombea humu msikutane nayo, kusimama tena uwaga ni ngumu sana na msongo wa mawazo lazima upate, tena ukute ukuwekeza.