@anon_codex Milion1 moja unabadilisha nini kikubwa apo maana pads35k oil atlantic 5w-30elfu 90-100k filter 10k ufundi 10k mafuta ni michongo yako kama unamisele bwege lazma ulie ulie ila kama unapiga misele ya pessa uwezi lia lia
@anon_codex Acha kutisha watu ulaji wa crown ni standard ukiona unalalamikia mafuta bado hujafikia hatua ya kutumia chombo cha moto yani cc2450 unapiga kelele ukipewa cc 4000 si utaacha ndala๐ ๐
@DangaAyubu79425@AbroadTanzania Gawanya na idadi ya watanzania bado kuna ma bilioni ya upigaji apo heche anaongea kwa fact wewe ndo mlopokaji watu wapiga pessa nyingi hapa hapa tanzania wewe unasinzia kwenye meza
@kasesco_tz Huwa wanapima kwanza eneo maji yanaweza patikana kwanzia mita ngap na kwa meter kwa upande wa dar meter ni elfu 50-60 kwa dodoma huwa meter elfu 70-80 wanaitwa wahindi weusi ndo huwakika kwa dodoma akikisha wanakupa mkataba maana kuna maeneo dom maji yanaweza kukauka mkagombana
@life_of_muu@chapanombombwi Hatari kaka endelea kununua tu we nenda vijijini ndani kabisa unapata mazao bora ata bei nzuri sanaa utafanikisha kaka ila kuanza kulima adi mavuno ๐๐๐
@chapanombombwi A round 2017 nililima sumbawanga mahindi aisee heka 300 ilitoa mahindi heka 150 naingia sokoni gunia elfu 30 kulisafirisha adi dar ni elfu 15 aisee nikasogea mbeya transport ikawa buku 5 oya nililia na kusaga meno namshukuru saa mzabuni mmmoja ivi alichukua gunia zote kwa 50k
@yusuph_mahundi@chapanombombwi Better ukiwa na godown then ukiingia shamba nunua mazao weka godwn piga dawa mpaka bei ikiwa nzuri ingia sokoni ila ukianza kulima ni noma mpaka uvunee inahitaji subira ya hali ya juu
@yusuph_mahundi@chapanombombwi Kesho yake jioni namalizia kusuka gunia nilikua na kifuso tiper kinasaidia kazi za shamba sasa kuna gunia zakupakia gari imerudi reverse nikasema gunia zimejaa izi ntapakia kesho aisee kumbe ile reverse ndo ilimuua nyoka kwenye zile gunia means ningeinua gunia ilikua naondoka mzm