Hatucheziiiiiii
Ni aibu kuwa na viongozi kama Kasongo,Mnguto,Boimanda,Karia na wenzake kwenye mpira wetu
Haijalishi kuna hatua gani kwenye maendeleo ya mpira nchini
Hapa mada ni ubakaji wa kanuni uliofanywa na tff na bodi ya ligi tarehe 8th March 2025
@SharonMontana20 Unasubiri nini wewe nenda tu ukerewe yeye ataenda kwa Mungu
Ila pesa hata kama ni buku ikikupotea bila ridhaa yako inauma muacheni baharia adai 80k yake hamjui alivyoipata aisee
@goligani Yaani kikosi hakina njomba nchumali na lod lofa
Ukimuacha baba ubaya meneja wa timu
Goal mashine ni load lofa alitupia mbili ft Born town 0-2Bush stars