@joharimshana@HecheJohn Upo sahihi piah... Lkn @HecheJohn yupo sahihi pia kuwa kupunguza huu ugumu au mfumko wa bei serekali ifute kodi zote ambazo sio za lazima na hazina manufaa kwakuwa hazifiki kwetu wananchi ili kuifanya bei ya mafuta kubaki kuwa affordable ๐
Vita ya mashariki ya kati haiwezi kuwa kisingizio cha mafuta kupanda bei.
Tunajua mmeagizwa na aliewateua kusema vita vita vita.
Kwenye kila lita moja ya mafuta kuna kodi na tozo mbali mbali za serikali zinazofikia 16.
Ukiondoa hizo tozo hata nusu bado mafuta yatabaki sh 2,700 na hii itamsaidia Mwananchi kupumua..
Hizi kodi na tozo zote zinakusanywa na kuibiwa kama vile ni kawaida tu..
Baadae wanasema Mwizi asemwe hadharani ili aone aibu !!! Hakuna hatua za kuchukua!
From football stadiums to the blessed city of Mecca ๐ค๐
Seeing Sadio Manรฉ, Lamine Yamal and Hakim Ziyech helping clean around the Kaaba reminds us that true greatness is not just in trophies, but in humility and service. Faith always comes before fame. โจ๐๐ค๐
Hizi kitu huwezi kuziona kwa malaya wenu KIMAVI uku mnaambiwa irani inateseka alaf leo tu izrael kule telaviv... Wamekutana na mvua ya makombola Ya irani.... Wamesema sasa ndio wanaanza vita ๐๐ฅ๐ฅ
๐จ BREAKING:
Iranian President Masoud Pezeshkian:
We have entered a new phase of the war. Tehran has finished its stockpile of old missiles, and now the true technology of the Islamic Republic will be revealed. From now on, Kheibar Shekan-4 missiles will be launched towards the Gulf and the Middle East, and intensively towards Israel and the American forces deployed in the region.
Everyone who has chosen to stand against Iran will bear the consequences in the coming hours.
@ErnestKavol4 Alaf aje na Mrusi kumlinda mshirika wake, kisha China Then vita yatatu ya dunia alooh naitamani vibaya mno kikubwa ground ya mapambano libakie uko uko kwao na sis tuone movie ๐ฅ