“Mnatuambia mjiajiri mbona nyie hamkujiajiri. Nikupe boda yangu, kisha we Unipe Uwaziri. Nikukabidhi vyeti vyangu hangaika navyo Mwezi mmoja, niko pale nakungoja uje tuongee lugha Moja” Roma Mkatoliki
Mamlaka ya wanyamapori nchini Uganda (UWA) inasema vifaru wawili wa kiume walizaliwa ndani ya siku mbili katika hifadhi ya 'Ziwa Rhino Sanctuary'.
Kuzaliwa kwa vifaru hao wawili kumeongeza idadi ya vifaru kuwa 38.