Mtoto wa damu za Watanzania. Mtoto huyu anatakiwa aitwe kifo.
Walipelekwa nje na CCM na kulipiwa IVF. Hakuna kazi aliyofanya Whozu ili mtoto kupatikana. Ni Watanzania kutekwa, Kuuawa alafu Wena kuwaunga mkono wauwaji through it all ndio kumemleta huyu mtoto duniani.
Huyo mtoto kapatikana kwa kodi na damu za Watanzania.
Habari ni nyingi ila sitaki kuandika habari ambazo hazina mantiki kwenye kudai haki.
Dah ila binadamu, Wema kaunga mkono mauaji ya watoto wa wanawake wengine ili wauaaji wa CCM wampe yeye mtoto.
Habari ndugu zangu.
Vifo vya ndugu zetu havitakuwa na maana kama tukiishia kupost mitandaoni na kuumia mioyoni. Tunatakiwa kufanya zaidi. Hapo chini nimeweka Link ya mahakama ya ICC.
Hii ni mahakama pekee DUNIANI inaweza kumfunga SAMIA kwa mauaji aliyofanya. Tangu jana tumefanya kazi ya kusubmit picha na ushahidi wa Mauaji mengi aliyofanya SAMIA siku 6 za gizani.
Kujaza Fomu hiyo ni RAHISI sana, kwasasa inatakiwa tusubmit kwa wingi sana kesi za mauaji ya ndugu zetu ili huyu DIKTETA jike aadhibiwe kwa ushenzi aliofanya kwa watanzania.
Mimi nilifanya jana na naendelea kusubmit maana ushahidi ni mwingi. Tunaweza kushiriki kwa wingi kampeni hii ya kumshtaki huyu DIKTETA jike.
Taarifa zako unazojaza kwenye huu mfumo ni siri yako na wao hakuna mtu mwengine ataona. Chini kabisa kuna sehemu ya kuweka Picha ya ushahidi hakikisha unaweka za kutosha usiache hata moja.
Link: https://t.co/oEImWPIZHc
Naomba SHARE UJUMBE HUU KWA WINGI ZAIDI VIFO VYA NDUGU ZETU VISIENDE BURE.
REPOST
TUTAKUWEPO🫵😎
We can’t be friends if we don’t see eye to eye on matters that involve human lives. We can’t be friends if you are making jokes or trying to be funny about the ongoing conversation. Read the room and hold your tongue!