โTulikosa matokeo mazuri katika mechi iliyopita na inatokea kwenye soka, tulitengeneza nafasi za wazi kuliko hata hiyo moja ambayo wenzetu waliitumia, kosa letu ni kwamba hatukutumia tulichokitengeneza,โ
.
โTunatakiwa kusahau hilo na kulichukua kama funzo, nimeongea na wachezaji na kuwapa akili ya namna wanavyotakiwa kutulia, hatutakiwi kufanya mambo kwa presha, tunaweza kushinda mchezo ujao tuna timu nzuri na maandalizi mazuri.
.
โMabadiliko ya kikosi yanaweza kuwapo tunakwenda kukutana na mpinzani mgumu akiwa kwake, sio rahisi sana kushinda ugenini, lakini tutakwenda kujaribu kufanya hivyo tena, tunaweza kubadili baadhi ya mambo kwenye kikosi kila mechi ina mahesabu yake,โ
โ Meneja wa Simba SC, Dimitar Pantev.
Baada ya Yanga kuidai TFF hela ya Zawadi ya Ubingwa wa Kombe la shirikisho ya mwaka 2023-2024.
Na Tff Kujibu kwa kusema kuwa wanawadai Yanga hela ya Usajili wa wachezaji wapya
Yanga wameekuja na kusema kuwa hawajapewa hela tangu waanze kushika ubingwa huo Tangu mwaka 2022.
Pia wametoa barua inayoonyesha mchanganuo wa hela mpaka kiasi wanachodai
Soma mwenyewe...
Usisahau NRNE..
Screenshot kwa Comments ๐
Unagombana na Mpenzi wako kila siku sababu anakuta simu yako usiku inatumika?
Dial *43# kisha OK
Hapo hatakama unaongea na simu nyengine haitamwambia unatumika bali itaonesha simu inaita kawaida tu na so unaweza kuamua kuipokea au ukakausha!
Kutoa ni #43#
CALL WAITING
SIKU YA 1-6
- Utakuwa na wakati mgumu sana
- Ubongo utaanza kupungua ukungu
- Kujiamini kutaongezeka kidogo
SIKU YA 7-30
- Testosterone itapanda kwa kasi
- Kujiamini kutaongezeka sana
- Utaanza kupata positive energy
- Misuli ya uume itaanza kupona na kuwa imara
โ Alikuwa ni kijana ambaye hajafikisha hata miaka 30, lakini alizitikisa karibu nchi saba zilizokuwa zikimtafuta. Marekani ikiwemo.
โ Majasusi kutoka mashirika 11 duniani, waliliimba jina lake.
โNi THE KING OF DARK WEB! Mmiliki wa kwanza wa ALPHABAY.
Muite ALPHA 02. Codename hiyo!!
Ilikuwaje?
Vaa viatu tuongozane...๐๐ฝ
Hii si nd'o ile siku ya wapendanao eeenh?
Vipi zile ahadi za kukupa Iphone 14, yale macho matatu ikiwa yeye anamiliki Infinix zimetimia?
Yako wapi yale maua mekundu ya kunukia, ama ndio ameishia kukupa maua ya Mkrismas?
Uliamua kutuvimbia sana status, post zako za kila dakika,
haipo, bora hata ingekuwa inatumika.
Acha kuturingia, umeshajua kuwa haupendwi, hata ukilia haitakusaidia.
Wewe dada unayetaka zawadi, vipi umeshaisafisha na zawadi yake?
Kumbukeni hii ni February, tutapata majibu ya valentine yenu miezi tisa baadae.