#KwaKilaMtoto, lishe bora🥦
Jana mwakilishi wa @UNICEFTanzania, Bi Elke Wisch amekutana na Waziri wa Kilimo, Mhe @HusseinBashe kuhusu ushirikiano katika kuboresha suala zima la lishe nchini. Kwa pamoja tunaweza kuhakikisha watoto wanakuwa na mwanzo bora kupitia lishe bora
UGENI MAABARA YA CHAKULA NA LISHE YA TFNC.
Wafadhili wa shughuli za lishe nchini wamefanya ziara ya kikazi katika Maabara ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania ili kujionea maendeleo ya upimaji wa sampuli za utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania
2/2: “This was a great opportunity for building capacity to effectively provide emergency nutrition services. NiE preparedness enable us to prepare for and improve humanitarian services for affected populations” said the PMO's Disaster Management Coordinator Ms. Dorothy Pantaleo
🎯Training of ♂️ ♀️ HCP on the identification & treatment of #children w. severe wasting in Kagera region.
👉I am now more confident in managing severe wasting & I look forward to orienting my team to save more lives” said Paulina Kinanila, a nurse from Nkwenda Health Centre. 👏
🙏 @igadsecretariat 🤝 @USAID for the regional “Learning Network on Nutrition Surveillance” event. Rich discussions with countries, academia, 🇺🇳 & other members led to the success of the technical consultation on #nutrition surveillance. 🙏 @wizara_afyatz for hosting.