@masoudkipanya Mi nishagundua ila siwezi sema mpaka watangaze rasmi ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ
@Donself255 Kuna unit 9,@1 zinakaa 3, na zote zimekuja muda mrefu sana zina zaidi mwaka sasa ndio zinatelemshwa moja moja kwenda Power House kutoka tulikokuwa tumezihifadhi