Usisaini mkataba wa kazi kama
โ Mshahara haujaandikwa wazi
โ Muda wa mkataba haujulikani
โ Haki za likizo hazipo
โ Masharti ya kufukuzwa hayajaelezwa
โ NSSF/PSSSF & PAYE hazikutajwa
โ Unaharakishwa kusaini bila muda wa kusoma
Mkataba ni ulinzi wako usisaini ili Mradi tu.
Usisaini mkataba wa kazi kama
โ Mshahara haujaandikwa wazi
โ Muda wa mkataba haujulikani
โ Haki za likizo hazipo
โ Masharti ya kufukuzwa hayajaelezwa
โ NSSF/PSSSF & PAYE hazikutajwa
โ Unaharakishwa kusaini bila muda wa kusoma
Mkataba ni ulinzi wako usisaini ili Mradi tu.
There is this girl whom my soul yearns for but life brutally kept us apart maybe in another life and all the lives we had we will forever yearn and never truly hold each other close to our heart