๐จ๐๐๐๐๐๐
Mhitimu wa Kidato cha Nne adai kuwa aliachilia bila kujibu kila swali namba 7 katika mitihani ya KCSE 2026 kama ishara ya heshima kwa Cristiano Ronaldo.
Kwa mujibu wa taarifa ya K24 Digital iliyochapishwa Novemba 22, 2026, mwanafunzi huyo anasema alifanya hivyo kwa makusudi baada ya Ronaldo kutangaza kustaafu soka la kimataifa Novemba 5.
โNimemaliza maswali ila ya namba saba Sijajibu. Hizo sikuwa naguza, ikuwe kama tribute kwa Cristiano Ronaldo. Namba saba huwezi guza, hiyo ni ya the GOAT,โ amesema kijana huyo.
Ronaldo (41) alihitimisha safari yake na timu ya taifa ya Ureno akiwa na mechi 234 na mabao 146, na namba 7 imekuwa alama yake tangu ajiunge na Manchester United.
#MeaMswahiliUPDATES
โผ๏ธHABARI MBAYAโผ๏ธ
Huyu kwenye picha anaitwa Yahaya Said Mbaga, ni mkazi wa Ituha-Mbeya.
Amepoteza maisha baada ya kupata ajali ya gali maeneo ya Ituha relini, majirani zake wanasema kwao ni Mlola- Tanga lakin hawamfahamu ndugu zake so kama kuna yoyote ambae anamfahamu huyu kijana tafadhali nichek DM.
Naomba nisaidie kurepost huenda tukawapata ndugu zake.