@MsigwaGerson Hapa mbona hamjawaza kuhusu ajira? Maana najua ajira watakaofaidi ni wakenya badala ya watanzania ambao Kodi zao zinatumika kwenye Kila kitu, pili hao Songoro, walikataa kupunguza bei?
Tujali kampuni zetu za kitanzania na ninaamini asiliamia kubwa ya watanzania wangefaidika
Google has launched new Career Certificates, offering online training for people seeking high-growth, in-demand jobs, no experience required. Learn more. #GrowWithGoogle
@dchikaka@zittokabwe@kigogo2014 Hii Safi, Sasa inahitajika elimu zaidi hapa kwa wafanyabiashara.
Pia nashauri mfanyabiashara kuwa na akaunti ya TRA ya online ambapo atakua na uwezo wa kutoa moja kwa moja risiti kwa mnunuzi kwa njia ya kuprint au email au sms au vyote kutegemea na mnunuzi anavyotaka
@Gado255@zittokabwe Soft copy ni njia rahisi Sana maana zinahifadhiwa kwenye database ya TRA na unakua na uwezo wa kuziona risiti zako muda wote na ukiwa popote duniani na Kama utataka ya karatasi nayo unaweza ipata kwa kuprint toka kwenye akaunti yako na TIN yako ya TRA na utadocument
@Gado255@zittokabwe Risiti itakua soft copy na itahifadhiwa kwenye database ya TRA na kwenye account ya mteja pia kwa muuzaji kundika email au namba ya simu ya mnunuzi risiti ikatumwa huko Kama ilivyo unaponunua Luku, ukitaka ya karatasi unaenda kuprint kumbuka risiti hizi za mashine hua zinafutika
@kigogo2014 Rushwa za kishamba kabisa. Unalazimisha mtu kugharamia Laki 9 kwa jambo ambalo aweza kufanya kwa simu yake tu hata kama ni kitochi. Hawa wa Bulgaria sijui wamewapa nini Watendaji wa TRA. Sio lazima wafanyabiashara kuwa na mimashine ya EFD mikubwa kama mihogo
Suala la uboreshaji wa mashine za EFD ama ni Uvivu wa Watu wa TRA, ama Ushamba wa Teknolojia au Mradi wa Watu kupata Fedha. Kama TRA wana API- application programming interface, kwanini waendeleze mimashine? Simu tu tena USSD/MobApp yatosha kuwa EFD. Usumbufu huu ni Rushwa tu....