@Smithfield12797@Jambotv_ Halafu iweje? Hao watu 7000 alio waajiri kumbuka wana watu nyuma yao wanao wategemea ( baba, mama, mke, watoto just 3, ndugu fanya 1 ( usihesabu wakwe). 7,000x7= 49,000 wanaoishi kutokana na uwepo wa Rostam. Nyie ndio mnachukia hata ndugu zenu waliofanikiwa