@PKishamba Tunajua kuwa Baba ana mtoto pendwa, lakini amini hata katika maandiko tuna mfano wa mtoto pendwa aliyependwa na baba yake na kumpa kila kitu na mwisho asiyependwa akawa hero wa familia! Wananchi tupige kazi ili baba akasirike mpaka afe πππ #DaimaMbeleNyumaMwiko
Kuna siku huyu Kalia atawaambia watu wanaoifunga timu yake pendwa waache mara mojaππ maana sio kwa kufokea watu namna hiyo! Na hili pia ni matumizi mabaya ya Mamlaka! Bado inanipa ukakasi juu ya issue ya Haji kwa speech ya huyu Bwana leo ππ
@Wakazi Ndio mbanga zao, Sindano zikiiwaingia wanatafuta kumvika ubaya Mtu na kumtishiaπππ, hii ni nchi huru na kila mtu ana opinion isipokuwa tu mtu asivunje sheria! Alafu wana Vitisho via kizamani mno!
@Wakazi Always ukweli unauma, especially kwa watu waliozoea kuishi kwa mazoea na ku-twist uongo ili uelekee kwenye ukweli na kwa benefits zao! Keep it up bro, penye ukweli we pasuka tu na anayeona inamuhusu akate kona badala ya kupoteza muda kubishana bila facts
@MwanaFA bro FA mie nafikiri kwa collaboration ya EA ya βWe endelea tu Remixβ hapo Kati aingie Ruby Tz, Khaligraph Jones wa Kenya na Eddie Kenzo wa Uganda ingekuwa poa sana. Itβs @rayuncopy ( Raymond) recently toka pande za Switzerland
Just wanna wish you all a Merry Christmas and coming Happy New Year 2019 . Tusheherekee kwa amani, utulivu na kuwakumbuka wote wenye mahitaji muhimu katika jamii zetu. Bless up! @ Rubigen,β¦ https://t.co/Blfg9fZqWs
Siku kama ya leo ilikuwa ngumu sana kwangu na familia nzima ya Mazee Laurent C. Magoti. Sikuamini kilichotokea, ndoto na kila maono uliyokuwa nayo juu yangu niliona vyote vimefifia kama⦠https://t.co/WmGd6nJmUX
@MariaSTsehai Siku zote neno lako ndiyo sheria yako na chunga neno lisije kugeuka kuwa silaha kwako, maana maumivu yake ni zaidi ya unayemuona adui kwako! #Shithole
@MariaSTsehai Yeye ngoja atuite tundu la Choo ila hakumbuki ya kuwa Weusi tuliamua kwa pamoja, tunaweza kumuwekea vikwazo hasa katika nyanja za uwekezaji wa kibiashara, hii yaweza kuwa fulsa kwa mataifa mengine yanayoshindana na USA kibiashara kufanya vizuri na kukubalika zaidi Afrika.