Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amewataka Wakurugenzi wa halmashauri zote za Arusha kuhakikisha wanafanya ukarabati wa miundombinu yote ya zamani katika maeneo yao huku wakiendelea na usimamizi wa miradi mipya.
@SuluhuSamia@maelezonews
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Dkt.Samia Suluhu Hassan leo tarehe 02/09/2023 amefungua Jengo jipya la Shirikisho la Umoja wa Posta Afrika (PAPU TOWER) lililopo Jijini Arusha.
Waziri wa OR-TAMISEMI Mhe.Angella Kairuki awafunda viongozi na watendaji wa Mkoa wa Arusha kwa kuwataka wakafanye kazi kwa bidii, weledi na nidhamu.
Pia, katika hotuba yake ya ufunguzi wa retreat kwa viongozi hao wametakiwa kutatua zaidi kero za wananchi.