Siku ya kwanza ya ziara yangu ya kitaifa katika Shirikisho la Urusi ambapo pamoja na mambo mengine, nimepata heshima ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin jijini Moscow.
Kwa pamoja tumepongeza ukuaji wa biashara kati ya nchi zetu uliofikia asilimia 72 katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025. Hata hivyo, kwa kuzingatia historia kubwa ya ushirikiano na uhusiano wa kirafiki kati ya mataifa yetu, tumekubaliana kuongeza juhudi za kukuza biashara na uwekezaji ili kuleta manufaa makubwa zaidi ya kiuchumi na ustawi wa wananchi wa nchi zetu.
Aidha, kwa lengo la kufungua fursa zaidi kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi, tumejadili namna ya kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati, zikiwemo sayansi na teknolojia, elimu, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
Nina furaha kutangaza ujio wa kazi yangu ya kitabu. Nawaalika watanzania wenzangu, vijana wenzangu, jamaa na marafiki kusoma kitabu hiki muhimu.
#KitabuChaTaifa#MunguKwanza#JengaKeshoBora
My President @SuluhuSamia it was such an amazing experience for young people to be part of this coordination.
Thank you for honoring the environment.
Thank you for honoring young people.
Thank you for all you do.
Happy birthday, Madam President!
📌 Dodoma:
WASOMI WATOA ANGALIZO KWA VYAMA VYA SIASA, WAMPA KONGOLE RAIS SAMIA.
Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Kati na Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) limempongeza Rais Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu Mchakato wa ukusanyaji wa maoni ya wadau kwa njia ya Kidemokrasia kuendelea kwa Uwazi.
TAHLISO imevitaka Vyama vya siasa Nchini kutozingatia maslahi binafsi au maslahi ya Vyama vyao pekee wakati wa utoaji wa maoni juu ya Miswada minne inayotarajiwa kujadiliwa na Bunge siku chache zijazo.
Wakitoa mapendekezo yao leo Januari 5, 2024 Katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma, TAHLISO imeunga mkono Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi kama maafisa wa Tume ya Uchaguzi (baada ya kula viapo).
Vilevile TAHLISO imependekeza yafanyike mabadiliko ya wagombea uDiwani kutoka miaka 21 iliyopo katika muswada huo hadi miaka 18.
#Maoni #TaifaDigitalUpdates #MguuKwaMguu2025
Mapema leo katika Misa Maalum ya kumuombea Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati Mjini, Jimbo Katoliki la Mbulu.
Tumetimiza miaka 24 tangu kuondokewa na kiongozi huyu mahiri, mmoja ya waasisi wa Taifa letu. Tunajivunia misingi aliyotujengea, inayoendelea kutufanya kubaki Taifa moja, lenye amani na mshikamano. Misingi ambayo kila mmoja katika nchi yetu analo jukumu la kuendelea kuitunza, kuilinda na kuisimamia.
The second female muhasso president Hon Vannesa Rutabana @Vee_ruta
New muhimbili University Students Government president- elect
Best wishes on your new endeavor
Your passion and Dedication is Everything !!
Tunasimama na mama 🔥🔥👏
@SuluhuSamia