Juzi nmepeleka nguo dry cleaner baada ya dk 30 jamaa anapiga simu anauliza kama nguo nmechanganya na dekio maji hayatakati kumbe ni taulo ile aibu nmepata sijawai kupata tokea nizaliwe.
Tufue mataulo wazee.. 😂
ASUBUHI NYENGINE YA KUKUMBUSHA FIRST BORN KUWA:
1. Usijisahau katika kuwajali wengine. Familia yako ni muhimu, lakini maisha yako pia yana umuhimu. Usitumie nguvu zako zote kujenga maisha ya wengine huku yako yakibaki nyuma.
A THREAD 🧵
A game is named Grand Theft Auto!
GRAND THEFT AUTO!!!!!
But you're angry all I want to do is enter the game to steal cars, shoot people, and cause chaos.
If you don't get out of my face😂