CHOOSE and CALCULATE your career PATH wisely. Kunae path ukiingia, NO TURNING BACK— for GOOD or BAD, it will lead you to KIFO.
NB: KIFO sio kwa mapenzi ya M/Mungu.
Mungu hataki tu uonekane mtu wa imani,anataka imani yako ionekane katika namna unavyoishi.
Uaminifu wako unapokuwa wa kweli, unakuwa mwema hata bila kushangiliwa, na unyenyekevu wako unabaki hata unapofanikiwa.🙏🏼
Watanzania wengi wetu ni washenzi kwa asili, kuthibitisha ili angalia matumizi ya vyoo vya public.
Namna hii hii tukipewa madaraka tunaenda kufanya ushenzi kwa sababu ni asili yetu.
Mwalimu JK Nyerere na Abeid Amani Karume walikuwa wanaharakati waliotanguliza maslahi ya taifa.
Kama walishiriki katika harakati za kupigania uhuru na kujenga Tanzania, kwa nini leo neno ‘mwanaharakati’ lionekane kama tuhuma badala ya heshima?”
Bishop Bagonza
#DemokrasiaYetu
#Faith
Mafanikio ya vitu uambatana sana na watu wachafu kiroho, shetani anatumia kama mtaji ya kuwavuta watu wasafi waone njia zao sio sahihi kwa sababu zinakosa kuambatana na mafanikio ya vitu(Mali) ambazo mara nyingi ni batili
#ShambaniTips
Ukiingiliwa na mifugo shambani kwako hakikisha unapata video na inaonesha alama zilizopo kwenye mguu wa nyuma. Kila boma ina alama tofauti hivyo zinafahamika ni za boma lipi mfano kwenye picha.
Ushauri wangu kwa CHADEMA. Umefika wakati wa kuanza campaign kubwa ya kushinikiza Tundu Lissu kuachiwa.
Habari za nchi ina madini, hakuna ajira achana nazo kwanza.
Mobilize watu kujiandaa kushinikiza Lissu kutoka gerezani. Agenda iwe moja, Lissu Lissu Lissu Lissu!