@about_lamar@patrick_forreal Kiufupi suluhisho pekee baada ya internet kuzimwa ni "peer-to-peer communication" since haihitaji miundombinu ya mitandao ya simu, hakuna cha zaidi hapo. https://t.co/EaDzvhdlub
@HildaNewton21 "George: Sioni umuhimu wako wowote naona mtangulizi wako kwenye uwenyekiti wa CHADEMA alikuwa bora kuliko wewe. " hii imekaaje? mstaafu anasifiwa na polisi? ๐คท๐พโโ๏ธ