@Tanfootball@CRDBBankPlc@azamtvtz@PrecisionAirTz Mbona hamjatoa ripoti ya mechi ya Kengold vs. Magereza Dar fc? Mtu mmoja amezuia mechi isichezwe alafu mnatanganza timu haijafika uwanjani mara timu imegoma. Kwanini hamtoi taarifa kamili juu ya hii mechi?
@BarakaMaviatu Hata sasa bado shule za serikali ulizozitaja zipo vizuri.
Inshu kubwa na changamoto kwa tanzania ni kwa kuwa shule imekuwa biashara kubwa sana na wanaofanya hizi biashara ni watu ambao wapo kwenye mamlaka. Ukija vyuoni ndo utawaona wa kawaida tu.
@shaffihdauda1 Braza ulipopingana na maelezo yako ni hapo uliposema
"Simba anaweza kuwashangaza wengi" means na wewe umemuweka simba kwenye kundi lilelile wanalomuweka hao wengine.
@Justin_Kejo@MarekaMalili Kwa hiyo endorsement hutolewa kabla ya tangazo la uchaguzi? Na kwa taratibu kila mgombea anatakiwa apate tano sasa hizo nyingine kachukua nani?? Yaani katika 47 imebaki moja tu?? Unataka kusema waliochukuwa form ni zaidi ya nane??