@Hannaanito@jwillis_03 @assenga_online Japo nilipita Diploma lakini binti yangu nimemgomea katakata kupita Diploma yupo Five sahizi kwa lazima๐๐๐ zote njia sahihi sioni kama Diploma ni better zaidi.
@magdayinza@yoursTruly_blak @marthamshana_ Hiyo laki 4 sio constant kuna muda biashara inakuwa mbaya hata kwao pesa inabaki kama ilivyo mwezi mzima na kuna muda pesa inashuka kidogo all in all mwisho wa mwaka ndo unaweza kuona faida vizuri ingawa ina range 12-14%
@man_stima38933@Sirjeff_D Mimi nilipita njia ya FTC then BSc lakini binti yangu alitaka apite njia hiyo nimemkataza simply namuona mdogo maisha ya chuo yana uhuru sana. Advantage ya kupita Diploma labda kwenye ajira unakuwa na vyeti viwili lakini Form Six anacheti kimoja!