Hii ripoti ya wiki ya Soko la Hisa Dar es Salaam imenikumbusha umuhimu wa kufanya uwekezaji sasa, sio kitu cha kusubiri.
Wakati naanza kufatilia soko la hisa nmenunua hisa za DSE kwa Tsh 500 na walihitaji uanze na kiwango cha chini cha vipande 100. Leo thamani ya kipande ni 1840
1)Three years ago, I warned our dear brother Lekau Sehoana about keeping overheads low. His business was just starting to take off. He rejected my advice, but I was talking from experience. I made similar mistakes with my first business back in 2011. It was a painful experience.
Kazi yako ya kwanza ni kujifunza kuonekana mara kwa mara. Si kwa ubora, bali kwa uthabiti. Jitokeze, fanya iwe tabia, iwe sehemu ya maisha yako. Baadaye utaongeza kiwango cha ubora wako.
Mwanzoni, matokeo si muhimu—cha msingi ni kuingia tu kwenye mchezo.
@NasisiNasisi@Kiganyi_ clouds machoko sana. yupo sahihi kuongea na mwanasheria wake privately. tena lawyer kamwambia vizuri tu wamwache aongee private au wamchukue either is fine Ata deal nao
Hapo zamani, kabla ya kukabidhiwa kadi ya mwanachama ya CCM ulikuwa unapitia mafunzo maalumu. Baada ya hapo ulikula kiapo cha imani ("creed") na kuweka ahadi zifuatazo:
1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
4. Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
5. Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
6. Nitajielemisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
7. Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
8. Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.
Siku hizi kina @gabyconscious wanajisajili kupitia tovuti ya chama bila kuelewa itikadi ya chama wala uzito wa ahadi za mwanachama. Ndio maana hawana maadili wala nidhamu ya kimapinduzi.
Mo Ibrahim has made a direct appeal to Presidents Samia Suluhu Hassan of Tanzania and Yoweri Museveni of Uganda to stop the violent crackdown on their critics.
https://t.co/Sekisz65ev
Mchungaji Matatani Tanzania:
Kanisa la Glory of Christ laondolewa kwenye sajili
Hii ni baada ya kiongozi wake kukemea utekaji nyara
Josephat Gwajima alilalamikia mateso ya Mwangi na Atuhaire
Tanzania yasema Gwajima anachochea wananchi wa Tanzania
Gwajima pia ni Mbunge wa eneo la Kawe huko Tanzania
#CitizenNipashe
@AlfieJoh Twitter ni porn site. lakini kuifungia wanapitia tu huo mgongo. mana ukizuia adult content hukutani nazo kizembe. Instagram nayo ni mbaya zaidi kwa child sexual posts
Greetings from Zurich. At least I can use X here. In Tanzania it has been blocked... again. Unless you (illegally) use a VPN, which I do not. Hence the radio silence!