According to new @TCRA_Tz data, the number of mobile #money subscribers increased by 9.8 percent in the first quarter of 2022. Indicating a steady increase in the country's #financial inclusion.
Ijumaa Kareem! ๐ Tuendelee kuiombea nchi yetu Tanzania amani, umoja, na maendeleo. Pia tusisahau kumuombea dua Rais wetu mpendwa, Mama @SuluhuSamia , ili aendelee kutuongoza kwa hekima na moyo wa upendo. ๐๐น๐ฟ
#SatMediaUpdates#IjumaaKareem#Tanzania#DuaKwaTaifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika kesho tarehe 27 Novemba, 2024.
https://t.co/dFKjZpFfw9
Rais @SuluhuSamia amealikwa kushiriki mkutano wa G20 huko Rio de Janeiro, Brazil, Novemba 18-19, 2024. Atakuwa Rais wa kwanza mwanamke na wa kwanza wa Tanzania kuhudhuria G20, ikionesha ukuaji wa ushawishi wa Tanzania kimataifa #Tanzania#G20 SOMA ZAIDI ๐https://t.co/Blb5gxrrem
TANESCO Yaachana na Mkataba wa Miaka 20 wa Ununuzi wa Umeme na Songas: Hatua Kuelekea Kujitegemea kwa Nishati chini ya Uongozi wa Rais Samia ๐น๐ฟ
https://t.co/swal63A6xf
๐น๐ฟ Rais Samia @SuluhuSamia amefungua milango ya kiuchumi kwa Tanzania kwa kuboresha mazingira ya biashara za kimataifa!
Tangu Machi 2021 hadi Agosti 2024, biashara za kimataifa zimeongezeka kwa 84%, kutoka $17.4B hadi $31.4B.
@NMBTanzania reports TZS 687B profit before tax in Q3 2024, a 21% year on year increase from TZS 569B in 2023. Profit after tax reaches TZS 476B, This historic growth highlights NMB's strategic progress in Tanzaniaโs banking sector. #NMBBank#Tanzania https://t.co/hm7eyCIWgk
"Business Environment Growth and Innovation (BEGIN) umelenga kukuza uchumi, kuongeza ajira na ubunifu kwa vijana na wanawake, kwa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji pia kuwawezesha wajasiriamali wakubwa, wa kati na wadogo kuzingatia ubora wa Bidhaa." @tausi_kida
Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi wa zaidi ya miaka 85 sasa ni sehemu muhimu ya burudani yetu. Mnawaleta pamoja na kwa namna kipekee, mamilioni ya Watanzania ndani na nje ya nchi yetu. #KariakooDerby
NMB imekuwa mwamba wa huduma za kibenki! Huduma bora, usalama, na ufanisi wa hali ya juu. Asante @NMBTanzania kwa kufanya maisha ya kifedha kuwa rahisi na bora zaidi! ๐ผ๐ฐ๐ฆ #NMB#HudumaBora#BenkiMwamba
@NMBTanzania Tofauti zipo 3.
Baadhi ya hivi vitu havipo / kuna utofauti kwenye Card.
1. Debit
2. Maandishi ya โmastercardโ chini ya Logo ya Mastercard.
3. Mistari kama Waves ๐
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Lugenge mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa maji katika Kijiji hicho akiwa ziarani mkoani Njombe leo tarehe 27 Oktoba 2023. @vpo_tanzania
๐ฅ Unleash Your Inner Confidence with Forever C9! ๐ช Boost your wellness journey with this amazing program. ๐ฟ Check out the details here: https://t.co/tttOOYbX85
#ForeverC9#WellnessJourney#ConfidenceBoost
This is what we call transformation. When we started implementation of this program in 2021, our aim was to transform Tanzania women entrepreneurs from being tailors to International textile and fashion designers. We are now confident and happy to share this tremendous progress.