Dem alinitumia vibaya hajawahi nilipa, kila saa nikimpata ama nimpigie anachange story from deni na kuniambia vile amenimiss. Na vile anakuanga na baba sucrose naombanga tu siku moja arushwe from 4th floor.
Hooked up one of my homies with this fine shyt from Lang’ata na wakakulana on the first encounter. Hii pande ingine nimeshindwa kabisa kudanganya mschana wa wenyewe akuje kejani aone my 4 by 6 orthopedic mattress yenye nimenunua na pesa ya uhalifu
hio career unaona hapo alikuwa amebuild yote in 36 years of living in this country, you wouldn't know of course because all you had done at 24 years is 5 bastards, a gone wife, a taxi and a twitter account.. ngite💩🚮
Kama ni man na hauna pesa, wewe sio funny na kama sio mrembo hiyo upuuzi ya kusema I don't chase I attract unafaa kuiacha kabisa ndugu yangu unless unataka sehemu zako za siri zianze kudhani ulikufa