Kwanza tafuta nafasi,ukipata nafasi onesha uwezo,ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika,ukiaminika utaanza kupata pesa.katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.
-Ruge mutahaba
kwani mliokuwa mnasema eti
tukimaliza chuo tusichague kazi za kufanya
mbona chuo tumemaliza na hizo kazi
mlizosema tusichague hatuzioni
au kazi hizo ni zipi mlizokuwa mnasemea😄tusichague.
maana naona kazi ambayo ni rahisi na inapatikana kwa uharaka hapa Tz
ni kutafuta kazi
bro to bro
hivi watu wako wa karibu,
baba,mama,na ndugu zako wote wanao kutegemea,
wanajua kama huwa ukitembea na mpenzi wako, wewe ndo hupita upande unaopita magari?? 😄
au ndo ulimuahidi kumlinda?
Kadri kijana wa kiume anavyo kuwa
ndivyo anavyozidi kumuelewa
na kumsamehe baba yake.
Anaelewa ni kwanini alikuwa hamuelewi👐,
Anaelewa ni kwanini alikuwa anawahi
kutoka kazini ila anachelewa kufika nyumbani
aliye badili dini kwaajili ya mwanamke ameachwa,aliye kopa pesa kwaajili ya kumfurahisha mwanamke naye kaachwa siku ya marejesho,aliye msomesha mwanamke chuo kaachwa siku ya graduation .
muda mwingine,
Tunajikuta tukilala njaa,kwa kuwa
tuliamini tuna sehemu ya kula
lakini laiti tusingekuwa na sehemu ya kula tusingelala njaaa
na hawa ndio walimwengu
Today, I’m grateful for the gift of life, the lessons learned, and the people who make my journey so beautiful. Cheers to a new chapter filled with love, growth, and endless blessings. 🙏❤️ #GratefulHeart#BirthdayBlessings"