"Jengo hili limeundwa kwa kuzingatia mahitaji ya Kariakoo pamoja na mahitaji ya taasisi yetu.
Basement itatumika kwa ajili ya maduka na shughuli nyingine za kibiashara.
Ground Floor nayo itakuwa na maeneo ya biashara, hususan maduka.
First Floor pia itakuwa kwa ajili ya maduka. Kwa ujumla, katika ghorofa hizi za chini kutakuwa na nafasi kadhaa za biashara ambazo zitakidhi mahitaji ya wafanyabiashara na wateja wa Kariakoo.
Kuanzia ghorofa ya pili hadi ya kumi, maeneo hayo yatatengwa kwa ajili ya storage facilities yaani maghala ya kuhifadhi bidhaa.
Hili ni jambo muhimu sana kwa sababu sote tunafahamu kwamba Kariakoo ni kitovu kikubwa cha biashara. Kuna wafanyabiashara wengi wanaohitaji maeneo salama na yenye mazingira bora ya kuhifadhi bidhaa zao.
Kwa hiyo, jengo hili halitakuwa tu mahali pa biashara, bali litatoa suluhisho kwa sehemu ya changamoto ya upatikanaji wa maeneo ya kuhifadhi bidhaa katika eneo hili.
Ghorofa ya 11 na ya 12 zitatumika kwa ajili ya makazi (residential units)
Kwa mujibu wa usanifu wetu, ghorofa hizi zitakuwa na takribani units 13 zitakazoweza kutoa makazi kwa watu mbalimbali.
Hii itatoa fursa kwa watendaji wetu pamoja na watu wengine wanaohitaji makazi katika eneo hili kupata sehemu nzuri, salama na yenye viwango.
Na katika ghorofa ya 13 ambayo ndiyo rooftop, tumepanga kuweka eneo maalum kwa ajili ya social engagement.
Kutakuwa na sehemu ya kupumzika, kupata kahawa na chakula, kutazama michezo kufanya mikutano na kukutana na watu mbalimbali.
Kwa hiyo, jengo hili litakuwa na matumizi mchanganyiko kama nilivyoeleza biashara, maghala, makazi na eneo la kijamii" Eng. Hersi Said
KONGAMANO LA BAVICHA KANDA YA PWANI – OKTOBA 10, 2026
Kongamano hili ni letu sote tunawaomba wadau mbalimbali kushiriki kwa namna yoyote mnayoweza ili kuhakikisha linafanikiwa
Mchango wako unaweza kuwa mawazo, muda, nguvu, rasilimali, usafiri au repost/share liwafikie wengi ✌️
MTAMISEMI: Una uhakika ni mshahara wa mwezi tuu 👇
- Gym monthly 250k,
- Protein Powder 250k,
- Creatine 80k,
- Pre workout 60k,
- Meal per day 25k,
- Omega 3 55k &
- Body Service 350k.
- Kodi 200k
- Umeme & Maji 15k
- Usafiri 200k
- Emergency 150k
#Tutakufuatilia 🤓