Kipindi unaanza mpra uliitwa isco kwenye chandim ulivo anza kucheza gozi ukaitwa Neymar jr kadri ya siku na muda kusogea unavozidi wakanza kukwta kdb au debryuen sababu ulikua unatoa Sana assist Ila bada ya mda kupita sahiz umekua unafunga Sana ss sijajua ni jina gani linalo fata
Dem wa kibongo n yule anae amin leo kuliko kesho yan Amin future, anaamin mtu anaempa hela ndo anae mpenda na sis wenyew n wahuni t tunakupa hela na atukupend ndo Mana awaolew wanajitia nuksi