@Positivenga1 Wote tungekuwa na uwezo wa kutambua distraction zinazotengenezwa na kujua jinsi ya kudeal Nazo kwaajili yakutopoteza focus,tungekuwa mbali sana kibinadamu.
Dunia ya sasa hivi imejaa distraction sana.Mungu atusaidieπ
@HildaNewton21 Hizo pesa kama zisingokuwa zinapitia mismanagement nchi zinazofaidika zingekuwa mbali sana.
Hivyo nchi nufaika kama hazijathibiti ufisadi,rushwa na mianya yote ya ubadhilifu hakuna umuhimu wa kupokea misaada hiyo, misaada inayoishia Kwa wachache.