UKITAKA KUJUA KUOA MWANAMKE MWENYE MTOTO SIO DEAL.
Hata MAMA YAKO mzazi hakubaliani na hilo jambo.
Mama zetu hawapendi tuoe wanawake wenye watoto hatakama na yeye ALIKULEA BILA BABA.
Single mother hapendi umuoe single mom wakati wewe hauna watoto.
Eeh Mwenyezi Mungu, nipe nguvu ya kuendelea kufanya kazi kwa bidii hata nisipoona matokeo mara moja. Nifundishe subira, nidumishe katika uaminifu, na unipe moyo usiokata tamaa.🙏🏼
Atakuita wewe ni masikini kwasababu ulikataa kutoa pesa zako kizembe zembe..
Lakini yeye hawezi kujiona ni masikini kwa kuombaomba.
Usijisikie vibaya kaka, wewe endelea kupambana na riziki yako ya kila siku.
Mahusiano mengi yanazorota mnapoanza
1. kuogopa kujadili tatizo kwa kudhani mtalikuza.
2. Kukaa kimya na kudhani tatizo litaisha lenyewe kama mlivyozoea.
3. Kununa kila mmoja akitaka mwenzake aanze kuongea