Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan awashukia vikali wanaharakati kutoka nje ya nchi wanao ingilia mambo ya ndani ya Tanzania.
@SuluhuSamia Uwezo mkubwa wa kidoplomasia na mazingira yake imethibitika umeyajenga kwa Kuta imara ambazo haziwezi tetereka, Hongera ya kwanza nakupa wewe Mh. Rais yapili Nampa @ProfJanabi hongera sana.
@eastafricatv Siku hizi hata Boda hawajui kufuata ramani alipo mteja, limekua tatizo kubwa sana, na kingine unapo hitaji huduma maswali yanakua mengi, upo wapi? Unelekea wapi? Imeandika shilingi ngapi? Haya ndio maswali yao