TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA HIVI WAKUU HAPA CHAP๐ฅ๐ฅ
โ๏ธ Reply handle yako hapa
โ๏ธ Like handle zilizowekwa na
watu
โ๏ธ Mtu aki like handle yako
mfollow
โ๏ธ Mtu akikufollow follow back usimuunfollow usiku wa manane๐.
Kwa pamoja tutafika 10K.
โ๏ธRepost ili tupate followers wengi wapya
Siku tunamaliza mtihani Wa Taifa wa kidato Cha nne wanafunzi wote waliomba niweke saini kwenye mashati yao wakaka Kwa wadada,.
Najaribu kusema Nini?
I was a Star of the school. Mimi nilikuwa Binadamu wa kwanza kupata division 2 tangia shule Ile ianzishwe๐๐๐๐