Men are simple. Give them s*x, respect and a home-cooked meal and they’ll move mountains for you. It’s not that they’re hard to please, it’s just that too many women refuse to try.
Tuseme tu ukweli kama isingekuwa Sirjeff, kuna possibility kubwa sana, hadi siku unaingia kaburini usingejua tafsiri ya neno 'Kesho kutwa' kwa Kingereza ni 'overmorrow'. Na tafsiri ya neno 'juzi' kwa Kingereza ni 'ereyesterday'.
‼️🚨NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️
Pole zako kaka Humphrey
Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana!
Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa, mliniona kama adui na kufurahia mateso yangu! Ila nikamwachia yote Mungu 🙏🏽
Leo ndo unashtuka kuwa kuna dhulma na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu!?
Ni sawa yote kheri - as long as utasimama kweli upande wa HAKI na uje utuambie na madhambi YOTE tokea ulipoingia serikalini!
Hakuna tofauti kubwa sana kwenye tawala hizi za Magufuli na Samia labda zaidi ni inner circle ndo imebadilika! Lakini kuna tofauti moja muhimu na uwe makini maana kwa sasa genge hili la Kizimkazi ni hatari zaidi yenu - kwao damu za watu na utesaji ni suna - ni mashetani wanywa damu! Just for the fun of it wanaweza kukuteka na kukufanyia lolote baya! Dark souls!
Wapendwa ndo maana nawaambia bila stress #TutaelewanaTu