@kigogo2014 Wanafosi kuturudisha bank wazungushie akiba zetu kwenye vimeo vilivyoanza bila budgeted plan so njia pekee sio kuzima matumiz wameamua kupandisha gharama za kuaccess izo huduma kifuatacho ni matangazo ya mabank tu "tuma na kutoa pesa kwa mawakala wetu kwa gharama nafuu zaidi "๐ค