@fumbokhanJr hua ipo hvyo dunian kote yyte atakayeamua mechi na kuipa timu yake ushindi bas atakua man of the match haijalish n dakik ya ngap kaingia la umuhim tu n muamuz wa mechi ambayo ilikua inahitaji ushindi... kama alivyofanya Olie Watkins (England) kwenye EURO24 alitokea sub akafunga